KI-Songgenerator Songtext-Generator Vocal Remover Preise Meine Songs

SINA WASI❤️

Song generated By ✨Song.do

Song Cover
v1

@ Benard channel

2026-08-28 12:15:21

Songtext

Digdi digdi digdi digdi hey

Digdi digdi digdi digdi hey

Digdi digdi digdi digdi hey




Uuuuuuhuuuuuuuuuuuuuu


Eeehee


Ooohooo

Uuh

Huuu

Iyeh


Aayyeeh

This is

Ben da soul




Mmmh



Sina wasi wasi
Sina shakaaaaa
(Sina shakaaaa)
Mungu wangu ni muaminifu
Mateso basi

Sina wasi wasi
Sina shakaaaaa
(Sina shakaaaa)
Eehee
Mungu wangu ni muaminifu
Mateso basi

Mmh eehe
Kama kunipenda ananipendaaa
January tu desembaaa
(Ananilinda)

Mbali hajawai kwenda
Yani nikiita tu, daddy
Chap kwa haraka yani
Ni zaidi ya defender (fender fender)

Eeheee
Eeeh

Sina wasi wasi
Sina shakaaaaa
(Sina shakaaaa)
Mungu wangu ni muaminifu
Mateso basi

Sina wasi wasi
Sina shakaaaaa
(Sina shakaaaaa)
Eehee
Mungu wangu ni muaminifu
Mateso basi




Digdi digdi digdi digdi hey

Digdi digdi digdi digdi hey

Digdi digdi digdi digdi hey



Aaayeeh

This is

Ben da soul



Aaaahaaa
Eehee

Hakika tabu zangu na majanga
Vili nivuruga aahaaaa
Ila mungu wangu amenipa tena nafasi

Maisha yangu yalikua kama kamariii,
Niliishi pasina imaniii,
Shida na tabu zangu sikujua nimwambie naniii,
Ila leooo oohoooo

Oooh huuuuuu


Sina wasi wasi
Miimii
Sina shakaaaaa
(Sina shakaaaa)
Mungu wangu ni muaminifu
Mateso basi

Sina wasi wasi
Sina shakaaaaa
(Sina shakaaaa)
Eehee
Mungu wangu ni muaminifu
Mateso basi


Digdi digdi digdi digdi hey

Tuimbe wotee eeeh

Digdi digdi digdi digdi hey

Digdi digdi digdi digdi hey

Tuimbe wotee leooo


Aaaahaaaaa eehe


Sina wasi wasi
Miimii
Sina shakaaaaa
(Sina shakaaaa)
Mungu wangu ni muaminifu
Mateso basi

Sina wasi wasi
Sina shakaaaaa
(Sina shakaaaa)
Eehee
Mungu wangu ni muaminifu
Mateso basi




Sina wasi wasi



Ben da soul

Musikstil

Male vocals Amapiano with a strong human mouth-beat groove that follows every vocal line exactly. Use rhythmic mouth sounds like “Kon Kon Kon — Kon Kin Kon” synchronized with the lyrics, plus deep vocal bass sounds at the end of each line. Heavy log drums, tight kick, subtle Maasai-inspired chants, layered group responses and a natural live performance feel. Catchy, clean and perfectly synchronized. amapiano